By Mheshimiwa Muhagure
Have you ever told someone something then later ukaregret and still lives with regrets🤔
Guys years ago I had this guy alikuwa ananikatia, so he used to go hizi chama wanaume hujichocha nazo, he invited me na nkamjoin huko kihoteli kiko Krd on your way to Gatundu sikumbuki jina, so sisi tukakula mbuzi tukacheza volleyball then tukalewa na wengine walikuwa kwa rooms wakishughulikiana, there were about 15men and 7girls, One mbaba had invited 2girls, I think alikuwa ameinvite mmoja akamshw hatakuja ikabidi aite mwingine then yule wa kwanza came unannounced, so yule alikuja she came and sat next to me na tukaanza kuongea na kulewa, yule alikuwa ame minvite ni mbaba na namjua vizuri na alikuwanga echaivi positive, so nikaambia damn nipeleke washrooms nilikuwa na nia ya kumuokoa🤔damn akanipeleka then akaanza kunishw huyo mbaba tumuite ‘G’ anamuonyesha madharau na vile anamdanganya vile anampenda, wueh mimi na maulevi yangu nikamshw “wewe Thank God haujamkubali anakuwanga na echaivi🤔 nikamwambia furahia vile amekuonyesha madharau ni bahati, wueh Damn alipiga nduru moja akaniambia Ngai ameniambukiza na pia niko pg na ni yake😳 niliskia ku faint nguvu ikaisha nikamwambia ni uongo sikuwa serious, wueh akaniambia twende nirudie vile nimesema mbele yao dio aconfirm🙄 nikamwambia nilikuwa tu na joke , wueh alipiga nduru ingine nikaskia wakikuja kuangalia ni nini, nilitoa viatu nikaanza mbio hadi kwa barabara, nilitembea nikijificha na ilikuwa saa tano usiku, good thing nikaona pickup inakuja nikaomba lift hadi kwa main road nikachukua mat sikuwai ongelesha hiyo mbogi tena🤔 sijui vile kulienda after