According to Nduta Wright,
Pale kwa Tasha mnatoa sadaka whole year halafu January anawapea mkate moja🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kwanza from the floor alafu kavu ndiyo myongwe mkufe
Guoka guoks
UNATOA SADAKA YA MIA UNAPEWA LOAF YA 65 BOB TASHA NA MAMA YAKE THEY MAKE A PROFIT OF 35 BOB CLEAN MONEY.
Mlisema procedure ya ku register church ni gani.