Heh! We were cruising the streets when we met girls talking about this guy.
Here’s what they said:
Leo wacha tuchambue King of mugithi Waithaka Wa Jane kizungu niliskia huwa inampita kama upepoπππ
Uzuri ni ati mugithi ni ya kikuyu sio kizungumkuti, and the guy is doing well in life
Mugithi yake hujaa BT the beats are slow agucagia rwimbo ma
ππππhe is the best,nilikua na yeye juzi kayole junction tukikunywa alkua anajuana na watu nlkua nao,wewe sema apo hajui kizungu na ako na gari ya 3.2million Alf kuna wewe
He behaves childish
Hizi lips zake hukaa kulamba niniioo mpaka uone iburahimu πππ
Alikua mukurino akiwa form 2 ituru boys akafukuzwa juu ya kiraiku ..he is top best in mugiithi
He uses a very low tone ata humuezi imba pamoja kama Salim young ama gatutura and then tooooo slow
Kuna siku niliende mugithi yake oj weee jamaa alipiga guitar mpaka tukalowesha suruali.he is supper talented
Niliskia akisema kwa interview ati kcpe alipata 170
Mtoto Ako 23 yrs Lakini Ile pesa Ako nayo π€π€..hata Heri ungekula school feeesπ€£π€£π€£
What I know shows zake hujaa sana, but this man is vibes, his mugithi has reggae tunesβ¦ aaaahh and then his smile yoh ππ
Anyway,Β Rafeekee comes with peace. Sisi nikuskia tumeskia. You can also tell us what you know. Mambo ni mawili. Jesus was born tomorrow. π